Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa imesimama tayari kuupokea mwili wa marehemu kwenye viwanja vya Karimjee.
Ni huzuni kubwa kwa familia ya marehemu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na Makamu wa Rais Ghalib Bilal (kushoto) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda wakiwa kwenye viwanja vya Karimjee ambapo mwili wa Marehemu Kapteni John Komba uliagwa na Viongozi mbali mbali na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akis
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wa Rais Ghalib Bilal kwenye viwanja vya Karimjee ambapo mwili wa Kapteni John Komba ulikuwa unaagwa .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiimba wimbo maalum wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba aliyefariki tarehe 28 februari 2015 jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa CCM pamoja na wanamuziki wa muziki wa dansi wakiimba kwa pamoja nyimbo maalum wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba .
Mzee Yusuf Makamba akifutmachozi wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Kada wa CCM na Mwanasiasa mkongwe nchi Kingunge Ngombale Mwilu akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni CCM Dk. Mohamed Seif Khatib akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Waziri wa Mambo ya Nje na uhusiano wa Kimataifa Bernad Membe akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba
Viongozi na wananchi kutoka sehemu mbali mbali wakiwa kwenye foleni ya kwenda kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba kwenye viwanja vya Karimjee.
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catheline Magige akiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza kutoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Kapteni John Komba.
Recent Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.
Popular Posts
-
Siku chache zilizopita, meli kubwa kuliko zote duniani iliwasili nchini Uingereza na kuwa kivutio kikubwa.Meli hiyo ya mizigo ina uwezo ...
-
Miili ya watu wanane tu kati ya watu 50 walikufa katika ajali ya juzi, iliyohusisha basi na lori katika eneo la Changarawe, Mafinga mkoani ...
-
Gari aina ya Toyota Hilux ambayo imegongwa na Basi la Kampuni ya Majinja likiwa linatoka Mbeya kwenda Dar. Mwili wa ...
-
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini ...
-
Jeshi la polisi mkoani Rukwa linawashikilia watu saba hadi sasa, kwa tuhuma za kuhusika na kitendo cha kikatili cha kukata kiganja cha ...
-
Umati mkubwa wa wakazi wa maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi wakishuhudia moja ya nyumba iliyokuwa imewahifadhi watoto wenye umri kati ya mia...
-
Boko Haram yasalimu amri kwa Is na ina maana gani kwa ulimwengu? Kundi la wanamgambo wa kiislam la Islamic State limekubaliana na kiapo...
-
Gari ya Serikali aina ya Toyota Land Cruser yenye namba za Usajili STK 7278, ikiwa imeparamia ukuta wa Shule ya msingi Al Muntazir iliyo...
No comments:
Post a Comment